What's newtag icon
Our latest AI innovations will deliver tomorrow's market todayDiscover howbanner icon

Qurani Quran Tukufu in Swahili App-Analysen für 6. Dezember

Qurani Quran Tukufu in Swahili

Qurani Quran Tukufu in Swahili

  • Holy Quran Apps
  • Google Play Store
  • Kostenlos
  • Bücher und Nachschlagewerke
Qurani (Qur'an) (Quran katika Kiswahili) Tarjuma ya Qur'ani Tukufu Kwa Kiswahili Translation of The Holy Qur'an to Swahili Language Qur'an (kwa Kiarabu: القرآن) ni kitabu kitukufu cha Uislamu. Qur'an inatazamiwa na Waislamu kama "Neno la Allah (Mwenyezi Mungu)". Kitabu hiki kwao ni tofauti kabisa na maandiko ya vitabu vya dini nyingine kwa maana hicho kinaaminika kwamba kimeandikwa moja kwa moja na Mwenyezi Mungu, kupitia mtume wake wa mwisho, Muhammad. Lugha na tafsiri Imeandikwa na kusomwa kwa lugha ya Kiarabu pekee kwa zaidi ya miaka 1,400. Kadiri ya Qurani (42:8), Mungu alimuambia Muhammad: "Na namna hivi tumekufunulia Qurani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Makka na walio pembeni mwake" Lakini, kwa vile leo Waislamu walio wengi ulimwenguni hawajui Kiarabu, maana halisi ya Qur'an hutolewa kwa lugha nyingine, hivyo kupelekea wasomaji kuelewa vyema yale maneno ya Kiarabu kwenye Qur'an yana maana gani. Vitabu hivyo ni kama kamusi kwa ajili ya Qur'an - hawavisomi hivi kama moja ya sehemu ya Quran tukufu na Waislam, ili kuwa badala ya Quran ya Kiarabu. Waislamu wengi wanaamini kwamba tafsiri ile siyo ya Qur'an tukufu na wala siyo ya kweli; ni kopi ya Kiarabu tu iliyotolewa kwenye Qur'an ya kweli. Waislamu wanaamini kwamba Qur'an tukufu mtume Muhammad alipewa na malaika Jibrīl kwenye pango la mlima Hira, kwa kipindi cha zaidi ya miaka ishirini na tatu hadi mauti wake ilipomfikia. Qur'an tukufu haikuwa kitabu cha maandiko wakati wa uhai wa mtume Muhammad; iliwekwa kwa mawasiliano ya kimdomo tu. Bimaana, watu walihifadhi kichwani. Mtume labda hakuwa anajua kusoma wala kuandika, lakini kwa mujibu wa Waislamu, swahaba wake Abu Bekr alikuwa akiandika maandiko yale juu ya kitu fulani wakati huo mtume Muhammad yu hai. Pale Abu Bekr alipokuja kuwa khalifa, ameileta Qur'an na kuwa kitabu kitakatifu. Uthman, ambaye ni khalifa wa tatu, ameondoa vipengele ambavyo vilikuwa havihusiani na Qur'an tukufu. Elementi, Sura, Mistari, Aya Kuna sehemu 30 katika Qur'an, ambayo inafanya kuwa na sura 114. Kila sura ina namba tofauti ya mistari. Kwa mujibu wa mafunzo ya Kiislam, sura 86 kati ya hizi zimeshuka mjini Makka, sura 24 kati ya hizi zimeshuka mjini Madina. Miongoni mwa sura zilizoshushwa mjini Medina ni pamoja na Al-Baqara, Al Imran, Al-Anfal, Al-Ahzab, Al-Ma'ida, An-Nisa, Al-Mumtahina, Az-Zalzala, Al-Hadid, Muhammad , Ar-Ra'd, Ar-Rahman, At-Talaq, Al-Bayyina, Al-Hashr, An-Nasr, An-Nur, Al-Hajj, Al-Munafiqun, Al-Mujadila, Al-Hujraat, At-Tahrim, At-Taghabun, Al-Jumua, As-Saff, Al-Fath, At-Tawba, Al-Insan. Mahusiano baina Qur'an na Biblia Katika Qu'ran tukufu, inasomwa kwamba Wayahudi na Wakristo pia huamini Mungu wa kweli. Dini hizi pamoja na Uislamu huitwa za Abrahamu kwa sababu ya mahusiano haya. Kuna baadhi ya kurasa za Qu'ran zinazoelezea habari za mambo ya watu wa katika Biblia. Kwa mfano watu wa katika Biblia waliotajwa kwenye Qu'ran ni pamoja na Adamu, Nuhu, Abraham, Lutu, Ismaili, Yakobo, Yosefu, Haruni, Musa, mfalme Daudi, Solomoni, Elisha, Yona, Yobu, Zakaria, Yohane Mbatizaji, Bikira Maria na Yesu. Hata hivyo, kuna tofauti za muhimu kabisa baina ya Uislamu na toleo la Biblia katika kuelezea habari za aina moja. Kwa mfano, Qu'ran tukufu inaelezea kwamba Yesu Kristo si Mwana wa Mungu, kama jinsi Wakristo wanavyoamini; kwa Waislamu, alikuwa nabii tu, anayeheshimiwa kwa jina la Isa bin Mariamu. Uislamu unafundisha kwamba haya yanatokea kwa sababu maandiko ya awali ya Biblia yamepotea na hivyo kuna baadhi ya watu wameyabadilisha. Lakini nje ya Qu'ran hakuna uthibitisho wa fundisho hilo.
Qurani Quran Tukufu in Swahili

Qurani Quran Tukufu in Swahili-Nutzungsrang

Das Ranking der Nutzung basiert auf dem Algorithmus von Similarweb, der aktuelle Installationen und aktive Benutzer:innen über einen Zeitraum von 28 Tagen berechnet.

Alle Kategorien in
Vereinigte Staaten--
Bücher und Nachschlagewerke in
Vereinigte Staaten--

Täglich aktive Benutzer

Analysieren Sie die Nutzungsmuster von Qurani Quran Tukufu in Swahili Benutzern, indem Sie Qurani Quran Tukufu in Swahili Herunterladen und täglich aktive Benutzer im Laufe der Zeit anzeigen.

Benutzer

Analysieren Sie die Nutzungsmuster von Qurani Quran Tukufu in Swahili Benutzern, indem Sie Qurani Quran Tukufu in Swahili Herunterladen und täglich aktive Benutzer im Laufe der Zeit anzeigen.

Schalten Sie täglich aktive Benutzer frei
OktNovDez

Qurani Quran Tukufu in Swahili Ranking-Statistiken im Zeitverlauf

Similarwebs Nutzungsrang und Google Play Store Rang für Qurani Quran Tukufu in Swahili

Rang

Keine Daten verfügbar

Qurani Quran Tukufu in Swahili Rangliste nach Land

Länder mit Qurani Quran Tukufu in Swahili der höchsten Platzierung in ihren Hauptkategorien


Benutzerinteressen und Top-Kategorien

Top-Kategorien und -Apps, die von Qurani Quran Tukufu in Swahili Benutzern verwendet werden

Keine Daten zum Anzeigen

Top-Wettbewerber und alternative Apps

Apps mit hoher Wahrscheinlichkeit, von denselben Benutzer:innen aus demselben Store verwendet zu werden.

Shia Toolkit

Shia Toolkit

Muhammed Raza Merchant

Kalaam - Learn Quranic Arabic

Kalaam - Learn Quranic Arabic

Mpyre Software Inc.

Al Quran (Tafsir & by Word)

Al Quran (Tafsir & by Word)

Greentech Apps Foundation

Habib | Shia Ai Quran Azan Dua

Habib | Shia Ai Quran Azan Dua

Habib app Group

Qurani Quran Tukufu in Swahili VS.

Dezember 6, 2025