What's newtag icon
Our latest AI innovations will deliver tomorrow's market todayDiscover howbanner icon

Kiswahili Bibilia Takatifu app analytics for December 5

Kiswahili Bibilia Takatifu

Kiswahili Bibilia Takatifu

  • Biblica, Inc.
  • Google Play Store
  • Free
  • Books & Reference
Soma Biblia Takatifu kwenye programu yetu ya Biblia isiyolipishwa. Haina matangazo na hutatozwa ada zozote. Ina vipengele vifuatavyo: Toleo la Kiingereza la Biblica New International Version na inaweza kusomwa upande kwa upande au mstari kwa mstari. Teua na uangazie vifungu unavyopenda, andika madokezo na utafute maneno kwenye programu. Bofya na ushiriki vifungu vya Biblia na marafiki zako. Inatumia maandishi yanayobadilika ukubwa ili kurahisisha kusoma biblia. Tumia wengine programu hii ambao wangependa kusoma Biblia Takatifu. Tathmini na maoni yako yatatusaidia kuendelea kuboresha programu hii kwa maslahi ya watumiaji. Kwa maoni au maswali, wasiliana nasi kwa njia ya barua pepe kupitia dev@biblica.com Programu ya Biblia imetengenezwa na kuchapishwa na : Biblica Je, Biblia ni nini? Biblia ni rekodi ya kazi ya Mungu ulimwenguni, na kusudi lake kwa viumbe vyote. Biblia iliandikwa zaidi ya karne kumi na sita zilizopita kupitia waandishi zaidi ya arobaini. Ni mkusanyiko wa vitabu 66 vyenye mitindo tofauti, vyote vyenye vinazungumzia kusudi la Mungu kwetu. Mkusanyiko huu wa vitabu tofauti una mitindo mbalimbali ya kifasihi. Ina masimulizi mengi kuhusu maisha ya watu wema na waovu, inasimulia vita na safari, maisha ya Yesu, na kuanzishwa kwa kanisa. Imeandikwa kupitia masimulizi na mazungumzo, methali na mafumbo, nyimbo na misemo, historia na unabii. Kwa ujumla, masimulizi ya Biblia hayakuandikwa kama yalivyotokea. Badala yake, yalielezwa tena na tena kutoka kizazi kimoja hadi kingine hatimaye yakaandikwa. Licha ya hayo, mafundisho katika vitabu tofauti yanawiana. Kuna uwiano kwenye Biblia nzima licha ya matukio kutendeka nyakati tofauti. Hivyo basi, Biblia ni nini? Pamoja na hayo yote, Biblia ni: Mwongozo wa kuishi maisha kikamilifu. Inatuongoza katika safari ngumu ya maisha. Yaani, katika safari yetu kupitia bahari ya maisha, Biblia ni nanga. Ina masimulizi mengi ya kuwavutia watoto na watu wazima. Unakumbuka Noah na safina? Koti la Yusufu lenye rangi za kupendeza? Danieli kwenye tundu la simba? Yona na samaki? Mafumbo ya Yesu? Simulizi hizi zinaangazia ushindi na kushindwa kwa watu wa kawaida. Kimbilio wakati wa dhiki. Wanaoumia, wanaopitia mateso, waliomo gerezani, na wanaoomboleza wanadhihirisha jinsi kuelekea Biblia kuliwapa nguvu wakati wa shida. Imejaa maarifa kutuhusu. Sisi sio roboti, bali ni viumbe wa Mungu anayetupenda na ana lengo na kusudi kwa ajili ya maisha yetu. Mwongozo wa maisha ya kila siku. Inatupa mwelekeo, mwongozo na amri kuhusu mienendo yetu, na ina kanuni za kutusaidia katika ulimwengu ambapo mara nyingi uovu unakubalika.
Kiswahili Bibilia Takatifu

Kiswahili Bibilia Takatifu Usage Rank

The usage rank is based on Similarweb's algorithm that calculates current installs and active users over a 28-day period.

All Categories in
United States--
Books & Reference in
United States--

Daily active users

Analyze usage patterns of Kiswahili Bibilia Takatifu users by viewing Kiswahili Bibilia Takatifu downloads and daily active users over time.

Users

Analyze usage patterns of Kiswahili Bibilia Takatifu users by viewing Kiswahili Bibilia Takatifu downloads and daily active users over time.

Unlock daily active users
OctNovDec

Kiswahili Bibilia Takatifu Ranking Stats Over Time

Similarweb's Usage Rank & Google Play Store Rank for Kiswahili Bibilia Takatifu

Rank

No Data Available

Kiswahili Bibilia Takatifu Ranking by Country

Counties in which Kiswahili Bibilia Takatifu has the highest ranking in its main categories


Users Interests & Top Categories

Top categories and apps used by Kiswahili Bibilia Takatifu users

No Data to Display

Top Competitors & Alternative Apps

Apps with a high probability of being used by the same users, from the same store.

Bible - Audio & Video Bibles

Bible - Audio & Video Bibles

Faith Comes By Hearing

The Book of Mormon

The Book of Mormon

The Church of Jesus Christ of Latter-day Saints

GodTools: Faith Conversations

GodTools: Faith Conversations

Cru

Gospel Library

Gospel Library

The Church of Jesus Christ of Latter-day Saints

Kiswahili Bibilia Takatifu VS.

December 5, 2025