12月26日 的 Nyimbo Za Kristo 應用程式分析
Nyimbo Za Kristo
- Justin Bulenga
- Apple App Store
- 付費
- 文獻參考
Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 za kitabu kidogo na 405 za kitabu kikubwa za kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni.
Sifa za program ni kama zifuatazo:-
• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.
• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for
the accompaniments).
• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu na kuongeza au kupunguza kasi ya uchezaji.
• Inakuwezesha kutafuta wimbo kwa haraka kwa kutumia namba.
• Inakuwezesha kuona wimbo wa mwisho kutazamwa katika orodha kwa kuuangazia rangi.
• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa umefungua wimbo tofauti na huo.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva Bulenga.
商店排名
商店排名基於Google和Apple設定的多個參數。
所有類別 在
美國--
文獻參考 在
美國--
建立帳戶即可查看平均每月下載次數聯絡我們
隨時間變化的 Nyimbo Za Kristo 排名統計
Similarweb 的使用排名和Apple App StoreNyimbo Za Kristo排名
商店排名
排名
12月 26, 2025