Now livetag icon
Digital 100 - Similarweb official ranking of the fastest growing digital brandsMeet the leading brands of 2026banner icon

Biblia Takatifu, Swahili Bible app analytics for January 22

Biblia Takatifu, Swahili Bible

Biblia Takatifu, Swahili Bible

  • Igor Apps
  • Google Play Store
  • Free
  • Books & Reference
Biblia Takatifu ya Kiswahili (Swahili Bible) Agano la Kale na Jipya Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu". Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la "Biblia", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la "Agano la Kale". Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake. Agano la Kale Kimsingi vitabu vya Agano la Kale ni vilevile vya Biblia ya Kiebrania, ingawa madhehebu ya Kikristo hutofautiana kidogo katika hilo. Ni kwamba wakati wa kutokea kwa Ukristo palikuwa na tofauti ndani ya Uyahudi kuhusu vitabu vilivyohesabiwa kuwa maandiko matakatifu. Suala hilo liliondolewa kuanzia mwaka 80 BK wataalamu wa Wayahudi wa huko Jabneh (Jamnia) walipochukua msimamo mkali dhidi ya wafuasi wa Yesu. Kwa wakati huo Wakristo walikuwa wamezoea tayari toleo la Kigiriki la maandiko matakatifu yaliyotafsiriwa katika karne ya 2 KK ambalo linajulikana kwa jina la Septuaginta na kuwa na vitabu kadhaa visivyokuwa vimetunzwa katika lugha asili ya Kiebrania wala ya Kiaramu, au vilivyoandikwa moja kwa moja katika lugha ya Kigiriki. Hivyo Biblia ya Kikristo ilikuwa na vitabu 7 (viwili vya Wamakabayo, Yoshua bin Sira, Hekima, Tobiti, Yudith na Baruku, pamoja na sehemu za Esta na Danieli) visivyokubaliwa baadaye na Wayahudi. Vitabu hivyo 7 vikaja kukataliwa na Martin Luther katika karne ya 16, halafu na Waprotestanti wengi, lakini vinazidi kutumiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kwa jina la Deuterokanoni. Agano Jipya Kuna vitabu 27 vya Agano Jipya. Vinne vya kwanza ni Injili nne zinazoleta habari za maisha, matendo na maneno ya Yesu. Vingine ni Matendo ya Mitume, Nyaraka za Mitume, hasa Mtume Paulo, na Ufunuo wa Yohane.
Biblia Takatifu, Swahili Bible

Biblia Takatifu, Swahili Bible Usage Rank

The usage rank is based on Similarweb's algorithm that calculates current installs and active users over a 28-day period.

All Categories in
United States--
Books & Reference in
United States#759

Daily active users

Analyze usage patterns of Biblia Takatifu, Swahili Bible users by viewing Biblia Takatifu, Swahili Bible downloads and daily active users over time.

Users

Analyze usage patterns of Biblia Takatifu, Swahili Bible users by viewing Biblia Takatifu, Swahili Bible downloads and daily active users over time.

Unlock daily active users
NovDecJan

Biblia Takatifu, Swahili Bible Ranking Stats Over Time

Similarweb's Usage Rank & Google Play Store Rank for Biblia Takatifu, Swahili Bible

Usage Rank

Rank

Biblia Takatifu, Swahili Bible Ranking by Country

Counties in which Biblia Takatifu, Swahili Bible has the highest ranking in its main categories


Users Interests & Top Categories

Top categories and apps used by Biblia Takatifu, Swahili Bible users

Top categories
Affinity
Top apps within the category
More apps
17%
Spirit365 - Bible Wake Alarm
The Table 4.0
Nyimbo za Wokovu + Biblia
Waaminio Songs + Bible
Nyimbo Za Injili
13%
Notes - Notepad and Reminders
Easy Voice Recorder
WPS Office-PDF, Word, Sheet
Samsung Calendar
Simple notepad notes
11%
Switch Proxy: Fast & Unlimited
GuitarTuna: Tune & Play Guitar
All Video Downloader & Player
Clock
Google Play services
11%
Citizens Bank Mobile Banking
MetaTrader 4 Forex Trading
opensky® Mobile
M-Pesa Tanzania
Kikoff - Build Credit Quickly

Top Competitors & Alternative Apps

Apps with a high probability of being used by the same users, from the same store.

The Book of Mormon

The Book of Mormon

The Church of Jesus Christ of Latter-day Saints

Bible - Audio & Video Bibles

Bible - Audio & Video Bibles

Faith Comes By Hearing

Ada – check your health

Ada – check your health

Ada Health

Gospel Library

Gospel Library

The Church of Jesus Christ of Latter-day Saints

Biblia Takatifu, Swahili Bible VS.

January 22, 2026