Don’t miss outtag icon
Get early access to Digital 100 2026, Similarweb’s official ranking of the fastest-growing brandsPre-register now!banner icon

Kiongozi Mwadventista app analytics for December 30

Kiongozi Mwadventista

Kiongozi Mwadventista

  • Almodad Amos Yaragwiller
  • Google Play Store
  • Free
  • Books & Reference
Kazi ya mchungaji, hasa katika mazingira ya Kanisa lililoko Afrika ni kazi inayomuhitaji Mchungaji kutoa huduma nyingi. Mchungaji hufanya kazi kama mshauri wa ndoa, Mchungaji hufanya kazi kama mwangalizi mkuu wa Kanisa, Mchungaji anaandaa mahubiri mengi ambayo yanachukua muda mwingi (inasemekana hubiri moja zuri linachukua kazi ya masaa sita mpaka masaa kumi na sita, Mchungaji anahudumu kama mlezi wa familia yake mwenyewe, mchungaji anahudumu kama afisa mahusiano wa Kanisa kwa jamii inayomzunguka, mchungaji anapaswa kuwa mfundishaji wa masomo ya Imani za msingi na mafundisho ya unabii, mchungaji anasimama kama mwenyekiti wa vikao vya baraza la Kanisa. Hii kazi inakuwa kubwa zaidi pale mchungaji kama huyo anapokuwa na makanisa mawili au zaidi. Kuna maeneo ambayo nimeona mchungaji akichunga mpaka makanisa ishiriki au zaidi. Katika mazingira kama hayo, si rahisi kwa Mchungaji kutoa semina elekezi kwa kila kiongozi ndani ya Kanisa. Mara nyingi semina hufanyika kwa ujumla na hazizami ndani kwa sababu mchungaji anakuwa anakimbizana na wingi wa huduma anazopaswa kuzitimiza wakati huohuo akiwa na muda mfupi wa kuyatimiza yote hayo. App hii imetengenezwa ili kurahisisha Kazi ya Mchungaji lakini pia kuwarahisishia washiriki kuzitambua huduma zinazofanyika ndani ya Kanisa. App hii hailengi kuondoa kabisa semina zinazopaswa kufanywa na mchungaji. Hata hivyo ni vyema kulitambua hili mapema kuwa: mwelekezaji wa mwisho wa kile kinachopaswa kufanywa na uongozi Kanisani ni Mchungaji wa Kanisa. Semina hizi zinapaswa (endapo kuna hoja) kufafanuliwa na mwenye dhamana ya kuliangalia Kanisa.
Kiongozi Mwadventista

Kiongozi Mwadventista Usage Rank

The usage rank is based on Similarweb's algorithm that calculates current installs and active users over a 28-day period.

All Categories in
United States--
Books & Reference in
United States--

Daily active users

Analyze usage patterns of Kiongozi Mwadventista users by viewing Kiongozi Mwadventista downloads and daily active users over time.

Users

Analyze usage patterns of Kiongozi Mwadventista users by viewing Kiongozi Mwadventista downloads and daily active users over time.

Unlock daily active users
OctNovDec

Kiongozi Mwadventista Ranking Stats Over Time

Similarweb's Usage Rank & Google Play Store Rank for Kiongozi Mwadventista

Rank

No Data Available

Kiongozi Mwadventista Ranking by Country

Counties in which Kiongozi Mwadventista has the highest ranking in its main categories


Users Interests & Top Categories

Top categories and apps used by Kiongozi Mwadventista users

No Data to Display

Top Competitors & Alternative Apps

Apps with a high probability of being used by the same users, from the same store.

No Data to Display
Kiongozi Mwadventista

December 30, 2025