Don’t miss outtag icon
Are you tracking AI visibility, or guessing? Get clarity with Similarweb’s AEO ToolkitTry it nowbanner icon

Nyimbo Za Kristo vs. Biblia Takatifu ya Kiswahili. Utilizzo e statistiche

Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 za kitabu kidogo na 405 za kitabu kikubwa za kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili. Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni. Sifa za program ni kama zifuatazo:- • Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno yaliyo ndani ya wimbo. • Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa. • Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi. • Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for the accompaniments). • Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu na kuongeza au kupunguza kasi ya uchezaji. • Inakuwezesha kutafuta wimbo kwa haraka kwa kutumia namba. • Inakuwezesha kuona wimbo wa mwisho kutazamwa katika orodha kwa kuuangazia rangi. • Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa umefungua wimbo tofauti na huo. • Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho. Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva Bulenga.
  • App Store di Apple
  • A pagamento
  • Referenze

Classifica degli store

- -

Tunayofuraha kuzindua Biblia Takatifu katika Kiswahili- programu ya iOS yenye muundo unaomfaa mtumiaji. Programu hii ina Agano la Kale na Agano Jipya. Tumejumuisha vipengele kadhaa kama vile Sauti, Alamisho, Vivutio, Vidokezo, Tafuta aya, na sogea kwenye kitabu au sura nyingine kwa urahisi. Sasa unaweza kusoma Biblia Takatifu ya Kiswahili Version popote wakati wowote bila mtandao. Soma na ushiriki mistari kila siku. Tutaongeza vipengele zaidi katika orodha ya ndoo mapema iwezekanavyo. Furahia safari yako ya Biblia! Pakua programu ya Biblia Takatifu ya Kiswahili sasa! Tungependa kusikia mawazo na mapendekezo yako katika balaklr@outlook.com Tuunge mkono kwa kukadiria programu. Mungu awabariki nyote!
  • App Store di Apple
  • Gratis
  • Referenze

Classifica degli store

- -

Nyimbo Za KristoRanking a confronto con Biblia Takatifu ya Kiswahili.

Confronta la tendenza di classifica Nyimbo Za Kristo nei ultimi 28 giorni rispetto a Biblia Takatifu ya Kiswahili.

Rank

Nessun dato disponibile

Classifica Nyimbo Za Kristo vs. Biblia Takatifu ya Kiswahili. per paese a confronto

Confronta la tendenza di classifica Nyimbo Za Kristo nei ultimi 28 giorni rispetto a Biblia Takatifu ya Kiswahili.

Tutte le categorie

Nessun dato disponibile

Referenze

Fai confronti con qualsiasi sito con la nostra prova gratuita

Inizia
Nyimbo Za Kristo VS.
Biblia Takatifu ya Kiswahili.

gennaio 11, 2026