LTV Tanzania Lite ni app ya kipekee inayokuletea habari za kitaifa na kimataifa, matokeo ya moja kwa moja ya soka (live soccer updates), uchambuzi wa mpira wa miguu, video za burudani, pamoja na tafsiri za kitaalamu za michezo na maisha ya kila siku. Ni zaidi ya app ya habari pekee — ni mchanganyiko wa habari, michezo, na entertainment kwa ajili ya Watanzania na jamii ya waswahili duniani. Kama unapenda kusoma habari mpya, kufuatilia magoli ya moja kwa moja, kupata utabili wa soka (soccer predictions), au kutazama video za burudani, basi hii ndio app bora kabisa kwako.
Vipengele Vikuu vya App (Features)
1. Habari Mpya Kila Dakika – Pata habari kutoka Tanzania na dunia nzima, ikiwemo siasa,uchumi, afya, teknolojia na michezo.
2. Breaking News Alerts – Usipitwe na tukio lolote kubwa. Utapokea arifa (notifications) kila mara habari kubwa inapojiri.
3. Michezo na Soka – Fuata matokeo ya moja kwa moja ya ligi mbalimbali kama Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC), Premier League (EPL), La Liga, Serie A, Bundesliga, CAF na UEFA Champions League.
4. Live Soccer Text Updates – Upo safarini au huna TV? Usiwe na wasiwasi. App hii inakuletea matokeo ya moja kwa moja (live text commentary).
5. Utabiri wa Mpira na Uchambuzi – Tunakuletea uchambuzi wa kitaalamu na utabiri wa michezo (predictions) ili kukusaidia kufuatilia mechi zako vizuri.
6. Video za Burudani na Habari – Tazama video za michezo, burudani, habari, na matukio makubwa kwa urahisi moja kwa moja kupitia app.
7. App Nyepesi na Haraka – Imeundwa kwa teknolojia ya kisasa kuhakikisha haina kutumia data nyingi na inafanya kazi haraka hata kwenye mitandao ya kawaida.
In this App you will find
Habari zote za siasa za Tanzania na nje ya tanzania
Habari zote za michezo za ligi ya Tanzania na nje ya nchi
Habari zote mpya na matukio ya Kila siku
Magazeti yote ya Tanzania Kila siku
Habari
Habari kali mpya
Habari za Leo Tanzania
Habari zote za hivi karibuni
Matukio Duniani
Matukio Ulimwenguni moja kwa moja
There are Tanzanian news from itv tanzania as well as sports news from mwanaspoti and other sources
itv Tanzania daily updates popote pale.habari za saa na uchambuzi wa kina
The app offers daily news and videos from Swahili News sources in Tanzania and outside tanzania.we cover sports news as well as hardcore news.
Taarifa ya habari Kila saa
Michezo supa
Michezo supa itv
Habari za uhakika
Habari na makala mbali mbali
Habari kuu
Itv magazeti
Itv magazeti ya Leo
Itv michezo
Itv live Leo usiku
Habari za uhakika za michezo
Habari za uhakika za biashara
Habari za uhakika za uchumi
Habari za uhakika za siasa
Habari za uhakika za Kila siku
Habari za uhakika mpya Kila siku
Habari za Mpira
Habari za ligi ya soka Tanzania
Habari za maisha ya mastaa
FAIDA KUU ZA KUTUMIA APP HII
1. Upatikanaji wa Habari za Haraka
• App inakuletea taarifa za kitaifa na kimataifa kwa muda halisi.
2. Michezo na Matokeo Mubashara (Live Updates)
• Kuna updates za moja kwa moja (live text commentary) ambazo zinaonyesha dakika kwa dakika.
3. Video za Burudani na Habari za Michezo
• Unaweza kutazama video za burudani, vipande vya michezo, highlights na makala mbalimbali.
4. Uchanganuzi na Utabiri wa Mechi
• Wachambuzi wa soka hutoa maoni ya kitaalamu kuhusu mechi zinazokuja.
• Kuna utabiri wa matokeo, wachezaji nyota, na mikakati ya timu.
5. Urahisi wa Kutumia (User Friendly Design)
• Kila kipengele kimewekwa wazi: Habari, Video, Michezo, na Burudani.
6. Habari Kutoka Vyanzo Mbalimbali
• Haijajikita kwenye chanzo kimoja, bali inakuletea makala kutoka vyombo mbalimbali vya habari.
7. Kujumuisha Burudani ya Kawaida
• Mbali na soka na habari, kuna makala na video za burudani nyingine: muziki, tamasha, mitindo, na maisha ya mastaa..
10.Kuwepo kwa Contact Info na Support
• Watumiaji wanaweza kuwasiliana moja kwa moja na developer (MIZOZO).
• Hii inaleta uaminifu na uwazi mbele ya watumiaji.
kama unapendasoka (soccer predictions), au kutazama video za burudani, basi hii ndio app bora kabisa kwako.