Now livetag icon
Digital 100 - Similarweb official ranking of the fastest growing digital brandsMeet the leading brands of 2026banner icon

TanzMED - Afya Kiganjani app analytics for February 1

TanzMED - Afya Kiganjani

TanzMED - Afya Kiganjani

  • Africa Healthtech LTD
  • Google Play Store
  • Free
  • Health & Fitness
TanzMED ni app ya afya inayokuleta pamoja madaktari mtandaoni, hospitali, madawa (ePharmacy) na urembo, vipimo vya maabara, huduma za nyumbani, na tathmini ya afya kwa kutumia AI - yote ndani ya app moja. Afya yako. App moja. Wakati wowote, Popote. 👨‍⚕️ Zungumza na Daktari Mtandaoni Pata ushauri wa kitabibu kwa chat au video call na madaktari waliothibitishwa kwa njia ya mtandao popote ulipo. 🏠 Huduma za Afya Nyumbani (Homecare) Weka miadi ya wauguzi, madaktari au walezi kwa huduma salama na za kitaalamu nyumbani kwako. 🧠 Afya ya Akili (Mental Health) Ongea na wataalamu wa afya ya akili, fanya tathmini ya afya ya akili, na tumia zana za kujijali (self-care) kwa ustawi wa kisaikolojia. 🤖 Tathmini ya Afya kwa AI Pata tathmini ya dalili zako kwa AI, mwongozo wa hatua inayofuata, na mapendekezo ya kiafya kwa haraka. 🤰 Afya ya Mama na Mtoto Fuatilia ujauzito, chanjo, ukuaji wa mtoto, na upate ushauri wa wataalamu wa afya ya mama na mtoto. 🌸 Afya ya Mwanamke Fuatilia mzunguko wa hedhi, elimu ya uzazi, na afya ya uzazi, pamoja na ushauri kutoka kwa madaktari wa wanawake. 💬 Kijiwe cha Afya (Health Space) Uliza maswali ya afya, shiriki mijadala, fuata wataalamu, na jifunze kutoka kwa jamii ya afya - hata kwa faragha (anonymous) inapohitajika. 💊 Duka la Dawa Mtandaoni (ePharmacy) & Maabara Agiza dawa mtandaoni, weka miadi ya vipimo vya maabara, na pata huduma karibu na ulipo kwa urahisi. 📚 Makala za Afya & Ushauri Soma makala 600+ zilizoandikwa na kuthibitishwa na madaktari kuhusu magonjwa, lishe, kinga na afya kwa ujumla. 🏥 Miadi ya Hospitali Wasiliana na hospitali, weka miadi na madaktari bingwa wa hospitali, maabara, na madaktari bingwa kwa urahisi kupitia app. TanzMED - Afya mkononi mwako. ⚠️ Kanusho la Kitabibu TanzMED haitoi utambuzi rasmi wa magonjwa na haibadilishi nafasi ya daktari au hospitali. Kwa huduma za Afya za dharura, wasiliana na watoa huduma za afya walio karibu nawe mara moja.
TanzMED - Afya Kiganjani

TanzMED - Afya Kiganjani Usage Rank

The usage rank is based on Similarweb's algorithm that calculates current installs and active users over a 28-day period.

All Categories in
United States--
Health & Fitness in
United States--

Daily active users

Analyze usage patterns of TanzMED - Afya Kiganjani users by viewing TanzMED - Afya Kiganjani downloads and daily active users over time.

Users

Analyze usage patterns of TanzMED - Afya Kiganjani users by viewing TanzMED - Afya Kiganjani downloads and daily active users over time.

Unlock daily active users
DecJanFeb

TanzMED - Afya Kiganjani Ranking Stats Over Time

Similarweb's Usage Rank & Google Play Store Rank for TanzMED - Afya Kiganjani

Rank

No Data Available

TanzMED - Afya Kiganjani Ranking by Country

Counties in which TanzMED - Afya Kiganjani has the highest ranking in its main categories


Users Interests & Top Categories

Top categories and apps used by TanzMED - Afya Kiganjani users

No Data to Display

Top Competitors & Alternative Apps

Apps with a high probability of being used by the same users, from the same store.

Ada - your health portal

Ada - your health portal

Ada Health

Kijani

Kijani

Justdiggit Foundation

Offline Music Player & Videos

Offline Music Player & Videos

Dairy App & Notes & Audio Editor & Voice Recorder

TanzMED - Afya Kiganjani VS.

February 1, 2026