Newtag icon
Top Black Friday 2025 brands announced! What were the hottest products and categories?Download the report now 👉banner icon

TzTv:Taarifa za HabariTanzania análises de aplicativos para 9 de dezembro

TzTv:Taarifa za HabariTanzania

TzTv:Taarifa za HabariTanzania

  • MIZOZO
  • Google Play Store
  • Gratuitos
  • Notícias e revistas
Habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na taarifa muhimu za Tanzania.Habari za Tanzania kwa kasi – Makala, TV Live na taarifa za papo hapo.Habari sahihi kutoka vyanzo mbalimbali, papo hapo na bila kelele. Taarifa za Habari Tanzania – Habari Sahihi, Haraka na Zenye Kuaminika Taarifa za Habari Tanzania ni app iliyoundwa kukupa habari muhimu, uchambuzi wa kina, matangazo ya LIVE, na taarifa zote za kitaifa kwa mwendo wa kasi na usahihi. Boresha ufahamu wako wa mambo ya Tanzania—popote na wakati wowote. VIPENGELE MUHIMU ✔ Habari za Haraka (Breaking News) Pata taarifa mpya mara tu zinapotokea kutoka vyanzo mbalimbali vya kuaminika. ✔ News TV Live Tazama matangazo ya televisheni mubashara bila kutoka kwenye app. ✔ Data Saver Mode Hifadhi data bila kupunguza ubora wa habari—chagua matumizi unayoyataka. ✔ Smart Notifications Tunakuarifu tu pale kuna habari mpya kweli—hakuna kurudia au kelele zisizo muhimu. ✔ Uzoefu Mwepesi na Wa Haraka App imeboreshwa kwa speed, usalama na utulivu—habari zinapakia ndani ya sekunde chache. ✔ Muonekano Safi na Rahisi Kutumia UI ya kisasa, menu rahisi, na usomaji ulio rafiki kwa kila kifaa. KWA NINI MTU APENDE HII APP? • Habari zenye kuaminika kutoka vyanzo vya ndani ya nchi • Matangazo ya moja kwa moja bila buffering • Chaguo la kutumia data kidogo • Hakuna kelele, hakuna taarifa za upotoshaji • Kila kitu kikiwa na kasi, usalama na ubora UPDATES ZA KARIBUNI • Kuongezwa: News TV Live • Data Saver Mode kwa matumizi madogo ya data • WebView kuboreshwa – video fullscreen bila ku-stuck • Smart notifications • Utendaji na kasi kuongezeka • Maboresho ya UI/UX • Bug fixes & performance improvements Sifa Kuu na muhimu za App (Vipengele Muhimu) Habari za Hivi Punde (Breaking News) Usipitwe na taarifa muhimu. Taarifa za habari inakuletea habari mpya mara zinapotokea – kuanzia matukio ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, ajira, afya hadi habari za serikali. Kila tukio kubwa nchini au duniani linakufikia papo kwa hapo, ukiwa na uhakika wa chanzo cha habari. Habari Mpya Kila Dakika Kila dakika kuna habari mpya kutoka Tanzania na dunia. App hii inasasishwa mara kwa mara kukuletea makala, taarifa, na uchambuzi wa kina kuhusu matukio yanayoendelea. Hakuna kusubiri kesho kusoma habari za leo – kila taarifa mpya inakufikia moja kwa moja, ukiwa popote. Matukio Duniani Tazama na fuatilia matukio yote makubwa duniani – mikutano ya kimataifa, chaguzi, migogoro, maendeleo ya teknolojia, mabadiliko ya hali ya hewa, na masuala ya kijamii na kiuchumi kutoka mabara yote. Habari za Marekani, Ulaya, Afrika, Asia na Mashariki ya Kati zinakujia kwa Kiswahili safi na kwa undani. Habari za Kimataifa kwa Kiswahili Fahamu kinachoendelea duniani kwa mtazamo wa Kiswahili. Tunachambua na kutafsiri habari kutoka vyombo vya kimataifa ili kuhakikisha unapata taarifa zenye ukweli, uwiano na uelewa wa kina. Kila siku, tunakuletea dunia nzima kupitia Kiswahili. Habari za Kitaifa Pata taarifa kamili kuhusu Tanzania – siasa, uchumi, maendeleo ya miradi, uongozi wa serikali, elimu, afya, na maisha ya kijamii. App hii ni dirisha lako kuu la kuelewa kinachoendelea nchini, kila saa na kila siku. Habari za Burudani Soma habari mpya kuhusu muziki, filamu, wasanii na tamthilia kutoka Tanzania na dunia. Tunakuletea makala, mahojiano, na stori za burudani zenye uhalisia na ubora wa juu. Magazeti Tanzania Pata vichwa vya habari na habari kamili kutoka magazeti makubwa ya Tanzania kwa urahisi.. Faida za Kutumia app hii Habari Mpya Habari zote mpya kutoka Tanzania na kimataifa, kila dakika. App inasasishwa mara kwa mara kuhakikisha hupitwi na tukio lolote. Habari za Hivi Punde Breaking news mara zinapotokea – siasa, uchumi, afya, teknolojia, na zaidi. Arifa za papo kwa hapo zinakufikia moja kwa moja kwenye simu yako. Matukio Duniani Ulimwengu mzima kwa Kiswahili. Taarifa za kina kuhusu chaguzi, migogoro, mikataba, maendeleo ya teknolojia, na masuala ya kijamii duniani kote. .Pakua Sasa unufaike na smart news app tanzania
TzTv:Taarifa za HabariTanzania

TzTv:Taarifa za HabariTanzania classificação de uso

A classificação de uso é baseada no algoritmo da Similarweb que calcula as instalações atuais e os usuários ativos ao longo de um período de 28 dias.

Todas as categorias em
Estados Unidos--
Notícias e revistas em
Estados Unidos--

Usuários ativos diariamente

Analise os padrões de uso dos usuários de TzTv:Taarifa za HabariTanzania visualizando os downloads de TzTv:Taarifa za HabariTanzania e os usuários ativos diários ao longo do tempo.

Usuários

Analise os padrões de uso dos usuários de TzTv:Taarifa za HabariTanzania visualizando os downloads de TzTv:Taarifa za HabariTanzania e os usuários ativos diários ao longo do tempo.

Unlock daily active users
out.nov.9ez.

TzTv:Taarifa za HabariTanzania Estatísticas de classificação ao longo do tempo

"Ranking de Uso do Similarweb e Ranking de Google Play Store para TzTv:Taarifa za HabariTanzania

Classificação

Nenhum dado disponível

TzTv:Taarifa za HabariTanzania Classificação por país

Países nos quais TzTv:Taarifa za HabariTanzania tem a classificação mais alta em suas principais categorias


Interesses dos Usuários e Principais Categorias

Principais categorias e aplicativos usados pelos usuários do TzTv:Taarifa za HabariTanzania

Nenhum dado para exibir

Principais concorrentes e aplicativos alternativos

Aplicativos com alta probabilidade de serem usados pelos mesmos usuários, da mesma loja.

Home Church

Home Church

Home Church Xenia

Villanova University Guides

Villanova University Guides

Guidebook Inc

e-Border - St. Kitts & Nevis

e-Border - St. Kitts & Nevis

Government of St Kitts and Nevis

NMC CBT

NMC CBT

Envertiz Consultancy

TzTv:Taarifa za HabariTanzania VS.

9ezembro d, 2025