Newtag icon
Top Black Friday 2025 brands announced! What were the hottest products and categories?Download the report now 👉banner icon

LTV Tanzania Lite:Live tv análises de aplicativos para 9 de dezembro

LTV Tanzania Lite:Live  tv

LTV Tanzania Lite:Live tv

  • MIZOZO
  • Google Play Store
  • Gratuitos
  • Notícias e revistas
LTV Tanzania Lite ni app ya kipekee inayokuletea habari za kitaifa na kimataifa, matokeo ya moja kwa moja ya soka (live soccer updates), uchambuzi wa mpira wa miguu, video za burudani, pamoja na tafsiri za kitaalamu za michezo na maisha ya kila siku. Ni zaidi ya app ya habari pekee — ni mchanganyiko wa habari, michezo, na entertainment kwa ajili ya Watanzania na jamii ya waswahili duniani. Kama unapenda kusoma habari mpya, kufuatilia magoli ya moja kwa moja, kupata utabili wa soka (soccer predictions), au kutazama video za burudani, basi hii ndio app bora kabisa kwako. Vipengele Vikuu vya App (Features) 1. Habari Mpya Kila Dakika – Pata habari kutoka Tanzania na dunia nzima, ikiwemo siasa,uchumi, afya, teknolojia na michezo. 2. Breaking News Alerts – Usipitwe na tukio lolote kubwa. Utapokea arifa (notifications) kila mara habari kubwa inapojiri. 3. Michezo na Soka – Fuata matokeo ya moja kwa moja ya ligi mbalimbali kama Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC), Premier League (EPL), La Liga, Serie A, Bundesliga, CAF na UEFA Champions League. 4. Live Soccer Text Updates – Upo safarini au huna TV? Usiwe na wasiwasi. App hii inakuletea matokeo ya moja kwa moja (live text commentary). 5. Utabiri wa Mpira na Uchambuzi – Tunakuletea uchambuzi wa kitaalamu na utabiri wa michezo (predictions) ili kukusaidia kufuatilia mechi zako vizuri. 6. Video za Burudani na Habari – Tazama video za michezo, burudani, habari, na matukio makubwa kwa urahisi moja kwa moja kupitia app. 7. App Nyepesi na Haraka – Imeundwa kwa teknolojia ya kisasa kuhakikisha haina kutumia data nyingi na inafanya kazi haraka hata kwenye mitandao ya kawaida. In this App you will find Habari zote za siasa za Tanzania na nje ya tanzania Habari zote za michezo za ligi ya Tanzania na nje ya nchi Habari zote mpya na matukio ya Kila siku Magazeti yote ya Tanzania Kila siku Habari Habari kali mpya Habari za Leo Tanzania Habari zote za hivi karibuni Matukio Duniani Matukio Ulimwenguni moja kwa moja There are Tanzanian news from itv tanzania as well as sports news from mwanaspoti and other sources itv Tanzania daily updates popote pale.habari za saa na uchambuzi wa kina The app offers daily news and videos from Swahili News sources in Tanzania and outside tanzania.we cover sports news as well as hardcore news. Taarifa ya habari Kila saa Michezo supa Michezo supa itv Habari za uhakika Habari na makala mbali mbali Habari kuu Itv magazeti Itv magazeti ya Leo Itv michezo Itv live Leo usiku Habari za uhakika za michezo Habari za uhakika za biashara Habari za uhakika za uchumi Habari za uhakika za siasa Habari za uhakika za Kila siku Habari za uhakika mpya Kila siku Habari za Mpira Habari za ligi ya soka Tanzania Habari za maisha ya mastaa FAIDA KUU ZA KUTUMIA APP HII 1. Upatikanaji wa Habari za Haraka • App inakuletea taarifa za kitaifa na kimataifa kwa muda halisi. 2. Michezo na Matokeo Mubashara (Live Updates) • Kuna updates za moja kwa moja (live text commentary) ambazo zinaonyesha dakika kwa dakika. 3. Video za Burudani na Habari za Michezo • Unaweza kutazama video za burudani, vipande vya michezo, highlights na makala mbalimbali. 4. Uchanganuzi na Utabiri wa Mechi • Wachambuzi wa soka hutoa maoni ya kitaalamu kuhusu mechi zinazokuja. • Kuna utabiri wa matokeo, wachezaji nyota, na mikakati ya timu. 5. Urahisi wa Kutumia (User Friendly Design) • Kila kipengele kimewekwa wazi: Habari, Video, Michezo, na Burudani. 6. Habari Kutoka Vyanzo Mbalimbali • Haijajikita kwenye chanzo kimoja, bali inakuletea makala kutoka vyombo mbalimbali vya habari. 7. Kujumuisha Burudani ya Kawaida • Mbali na soka na habari, kuna makala na video za burudani nyingine: muziki, tamasha, mitindo, na maisha ya mastaa.. 10.Kuwepo kwa Contact Info na Support • Watumiaji wanaweza kuwasiliana moja kwa moja na developer (MIZOZO). • Hii inaleta uaminifu na uwazi mbele ya watumiaji. kama unapendasoka (soccer predictions), au kutazama video za burudani, basi hii ndio app bora kabisa kwako.
LTV Tanzania Lite:Live  tv

LTV Tanzania Lite:Live tv classificação de uso

A classificação de uso é baseada no algoritmo da Similarweb que calcula as instalações atuais e os usuários ativos ao longo de um período de 28 dias.

Todas as categorias em
Estados Unidos--
Notícias e revistas em
Estados Unidos--

Usuários ativos diariamente

Analise os padrões de uso dos usuários de LTV Tanzania Lite:Live tv visualizando os downloads de LTV Tanzania Lite:Live tv e os usuários ativos diários ao longo do tempo.

Usuários

Analise os padrões de uso dos usuários de LTV Tanzania Lite:Live tv visualizando os downloads de LTV Tanzania Lite:Live tv e os usuários ativos diários ao longo do tempo.

Unlock daily active users
out.nov.9ez.

LTV Tanzania Lite:Live tv Estatísticas de classificação ao longo do tempo

"Ranking de Uso do Similarweb e Ranking de Google Play Store para LTV Tanzania Lite:Live tv

Classificação

Nenhum dado disponível

LTV Tanzania Lite:Live tv Classificação por país

Países nos quais LTV Tanzania Lite:Live tv tem a classificação mais alta em suas principais categorias


Interesses dos Usuários e Principais Categorias

Principais categorias e aplicativos usados pelos usuários do LTV Tanzania Lite:Live tv

Nenhum dado para exibir

Principais concorrentes e aplicativos alternativos

Aplicativos com alta probabilidade de serem usados pelos mesmos usuários, da mesma loja.

Apex News: Breaking & Local

Apex News: Breaking & Local

Opera

SeLink Box: Fast VPN Proxy

SeLink Box: Fast VPN Proxy

Gardnery Stepli

USA TODAY: US & Breaking News

USA TODAY: US & Breaking News

USA TODAY

Fieldsports Journal

Fieldsports Journal

Pocketmags.com

LTV Tanzania Lite:Live tv VS.

9ezembro d, 2025