- Ana Sayfa
- Ücretsiz Uygulama Analitiği
- Nyimbo Za Kristo
- Nyimbo Za Kristo Vs. Biblia Takatifu ya Kiswahili.
Nyimbo Za Kristo vs Biblia Takatifu ya Kiswahili. Kullanım & İstatistikleri
Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 za kitabu kidogo na 405 za kitabu kikubwa za kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni.
Sifa za program ni kama zifuatazo:-
• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.
• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for
the accompaniments).
• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu na kuongeza au kupunguza kasi ya uchezaji.
• Inakuwezesha kutafuta wimbo kwa haraka kwa kutumia namba.
• Inakuwezesha kuona wimbo wa mwisho kutazamwa katika orodha kwa kuuangazia rangi.
• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa umefungua wimbo tofauti na huo.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva Bulenga.
- Apple App Store
- Ücretliler
- Referans
Mağaza Sıralaması
- -
Tunayofuraha kuzindua Biblia Takatifu katika Kiswahili- programu ya iOS yenye muundo unaomfaa mtumiaji.
Programu hii ina Agano la Kale na Agano Jipya. Tumejumuisha vipengele kadhaa kama vile Sauti, Alamisho, Vivutio, Vidokezo, Tafuta aya, na sogea kwenye kitabu au sura nyingine kwa urahisi. Sasa unaweza kusoma Biblia Takatifu ya Kiswahili Version popote wakati wowote bila mtandao. Soma na ushiriki mistari kila siku.
Tutaongeza vipengele zaidi katika orodha ya ndoo mapema iwezekanavyo. Furahia safari yako ya Biblia!
Pakua programu ya Biblia Takatifu ya Kiswahili sasa!
Tungependa kusikia mawazo na mapendekezo yako katika balaklr@outlook.com
Tuunge mkono kwa kukadiria programu. Mungu awabariki nyote!
- Apple App Store
- BOŞTA
- Referans
Mağaza Sıralaması
- -
Nyimbo Za Kristo ile Biblia Takatifu ya Kiswahili. için sıralama karşılaştırması
Son 28 gündeki Nyimbo Za Kristo sıralama trendini Biblia Takatifu ya Kiswahili.ile karşılaştırın
Rank
Mevcut veri yok
Nyimbo Za Kristo vs. Biblia Takatifu ya Kiswahili. ülke karşılaştırmasına göre sıralama
Son 28 gündeki Nyimbo Za Kristo sıralama trendini Biblia Takatifu ya Kiswahili.ile karşılaştırın
Tüm kategoriler
Mevcut veri yok
Referans
Ücretsiz deneme sürümümüzü kullanarak istediğiniz siteyle karşılaştırın
Ocak 11, 2026