12月6日 的 Ticha Zungu - Jifunze English 應用程式分析
Ticha Zungu - Jifunze English
- Increate Technologies Company LTD
- Google Play 商店
- 免費版
- 教育
JIFUNZE KIINGEREZA KWA KISWAHILI MTANDAONI NA TICHA ZUNGU!
> Daunlodi aplikesheni ya Ticha Zungu ili uanze kujifunza Kiingereza cha kusoma, kuongea, kusikia, na kuandika mda wowote, siku yoyote unapokuwa na nafasi.
-> Ndani ya aplikesheni kuna masomo ya miezi mitatu. Kila somo lina sehemu nne:
- Sehemu ya kuzungumza laivu na mzungu kwa Kiingereza huku ukipata msaada kutoka kwa Ticha Zungu.
- Sehemu ya kusikiliza video ya somo.
- Sehemu ya kujifunza maneno ya Kiingereza na tafsiri zake, namna yanavyotamkwa, na kurudia kuyatamka.
- Sehemu ya maswali ya kutafsiri sentensi za Kiingereza kuringana na somo la video ulilofundishwa na maneno uliyojifunza, kusikiliza hizo sentensi zinavyotamkwa, na kurudia kuzitamka kwa Kiingereza.
-> Ukikamilisha masomo ya mwezi mmoja utajua Kiingereza kiasi kikubwa, na ukikamilisha miezi sita Kiingereza hakitokusumbua tena.
Ticha Zungu - Jifunze English 使用排名
基於 Similarweb 的算法,根據過去 28 天的安裝數和活躍用戶數進行計算。
所有類別 在
美國--
教育 在
美國--
每日活躍使用者
通過查看Ticha Zungu - Jifunze English 的下載量和每日活躍用戶數,分析 Ticha Zungu - Jifunze English 用戶的使用模式。
位使用者
通過查看Ticha Zungu - Jifunze English 的下載量和每日活躍用戶數,分析 Ticha Zungu - Jifunze English 用戶的使用模式。
解鎖每日活躍使用者10月11月12月
隨時間變化的 Ticha Zungu - Jifunze English 排名統計
Similarweb 的使用排名和Google Play 商店Ticha Zungu - Jifunze English排名
排名
無可用數據
用戶興趣和熱門類別
Ticha Zungu - Jifunze English用戶使用的熱門類別和應用程式
無可顯示數據
12月 6, 2025