12月6日 的 Novena Ya Mt. Rita Wa Kashia 應用程式分析
Novena Ya Mt. Rita Wa Kashia
- 850418082
- Google Play 商店
- 免費版
- 書籍與參考資料
Novena ya Mt. Rita wa Kashia ni programu ya kiroho iliyoundwa mahsusi kwa wakristo na watu wote wanaotamani kuimarisha maisha yao ya sala. Kupitia programu hii, unaweza kufurahia na kushiriki ibada maarufu za Mt. Rita, anayejulikana sana kama mtakatifu wa mambo yasiyowezekana.
Programu hii inajumuisha novena mbili kuu ambazo zimekuwa msaada mkubwa kwa waamini wengi duniani:
✨ Novena ya siku 9
Hii ni sala inayosaliwa kwa siku tisa mfululizo. Kila siku kuna sala maalum, tafakari, na nia za sala ambazo zinaongoza mwamini kumkaribia Mungu kwa njia ya Mt. Rita. Kupitia novena hii, unaweza kuomba neema, nguvu, uponyaji na faraja katika changamoto za maisha yako ya kila siku.
✨ Novena ya masaa 15
Hii ni sala ya pekee inayosaliwa kila baada ya saa moja kwa muda wa masaa kumi na tano mfululizo. Kila saa unapata sala na tafakari maalum, zikikusaidia kuendelea katika mwendelezo wa maombi ya kina, yakikupeleka hatua kwa hatua katika ukaribu na Mungu. Sala hii imekuwa chanzo cha miujiza na majibu kwa watu wengi waliyoisali kwa imani.
Novena Ya Mt. Rita Wa Kashia 使用排名
基於 Similarweb 的算法,根據過去 28 天的安裝數和活躍用戶數進行計算。
所有類別 在
美國--
書籍與參考資料 在
美國--
每日活躍使用者
通過查看Novena Ya Mt. Rita Wa Kashia 的下載量和每日活躍用戶數,分析 Novena Ya Mt. Rita Wa Kashia 用戶的使用模式。
位使用者
通過查看Novena Ya Mt. Rita Wa Kashia 的下載量和每日活躍用戶數,分析 Novena Ya Mt. Rita Wa Kashia 用戶的使用模式。
解鎖每日活躍使用者10月11月12月
隨時間變化的 Novena Ya Mt. Rita Wa Kashia 排名統計
Similarweb 的使用排名和Google Play 商店Novena Ya Mt. Rita Wa Kashia排名
排名
無可用數據
用戶興趣和熱門類別
Novena Ya Mt. Rita Wa Kashia用戶使用的熱門類別和應用程式
無可顯示數據
的頂級競爭對手和替代方案
來自同一應用商店,有很高可能被相同使用者使用的應用程式。
無可顯示數據
12月 6, 2025