Don’t miss outtag icon
Get early access to Digital 100 2026, Similarweb’s official ranking of the fastest-growing brandsPre-register now!banner icon

12月30日 的 Kiongozi Mwadventista 應用程式分析

Kiongozi Mwadventista

Kiongozi Mwadventista

  • Almodad Amos Yaragwiller
  • Google Play 商店
  • 免費版
  • 書籍與參考資料
Kazi ya mchungaji, hasa katika mazingira ya Kanisa lililoko Afrika ni kazi inayomuhitaji Mchungaji kutoa huduma nyingi. Mchungaji hufanya kazi kama mshauri wa ndoa, Mchungaji hufanya kazi kama mwangalizi mkuu wa Kanisa, Mchungaji anaandaa mahubiri mengi ambayo yanachukua muda mwingi (inasemekana hubiri moja zuri linachukua kazi ya masaa sita mpaka masaa kumi na sita, Mchungaji anahudumu kama mlezi wa familia yake mwenyewe, mchungaji anahudumu kama afisa mahusiano wa Kanisa kwa jamii inayomzunguka, mchungaji anapaswa kuwa mfundishaji wa masomo ya Imani za msingi na mafundisho ya unabii, mchungaji anasimama kama mwenyekiti wa vikao vya baraza la Kanisa. Hii kazi inakuwa kubwa zaidi pale mchungaji kama huyo anapokuwa na makanisa mawili au zaidi. Kuna maeneo ambayo nimeona mchungaji akichunga mpaka makanisa ishiriki au zaidi. Katika mazingira kama hayo, si rahisi kwa Mchungaji kutoa semina elekezi kwa kila kiongozi ndani ya Kanisa. Mara nyingi semina hufanyika kwa ujumla na hazizami ndani kwa sababu mchungaji anakuwa anakimbizana na wingi wa huduma anazopaswa kuzitimiza wakati huohuo akiwa na muda mfupi wa kuyatimiza yote hayo. App hii imetengenezwa ili kurahisisha Kazi ya Mchungaji lakini pia kuwarahisishia washiriki kuzitambua huduma zinazofanyika ndani ya Kanisa. App hii hailengi kuondoa kabisa semina zinazopaswa kufanywa na mchungaji. Hata hivyo ni vyema kulitambua hili mapema kuwa: mwelekezaji wa mwisho wa kile kinachopaswa kufanywa na uongozi Kanisani ni Mchungaji wa Kanisa. Semina hizi zinapaswa (endapo kuna hoja) kufafanuliwa na mwenye dhamana ya kuliangalia Kanisa.
Kiongozi Mwadventista

Kiongozi Mwadventista 使用排名

基於 Similarweb 的算法,根據過去 28 天的安裝數和活躍用戶數進行計算。

所有類別 在
美國--
書籍與參考資料 在
美國--

每日活躍使用者

通過查看Kiongozi Mwadventista 的下載量和每日活躍用戶數,分析 Kiongozi Mwadventista 用戶的使用模式。

位使用者

通過查看Kiongozi Mwadventista 的下載量和每日活躍用戶數,分析 Kiongozi Mwadventista 用戶的使用模式。

解鎖每日活躍使用者
10月11月12月

隨時間變化的 Kiongozi Mwadventista 排名統計

Similarweb 的使用排名和Google Play 商店Kiongozi Mwadventista排名

排名

無可用數據

Kiongozi Mwadventista按國家/地區排名

Kiongozi Mwadventista 在其主要類別中排名最高的國家


用戶興趣和熱門類別

Kiongozi Mwadventista用戶使用的熱門類別和應用程式

無可顯示數據

的頂級競爭對手和替代方案

來自同一應用商店,有很高可能被相同使用者使用的應用程式。

無可顯示數據
Kiongozi Mwadventista

12月 30, 2025