1月30日的Swahili Islamic Academy应用程序分析
Swahili Islamic Academy
- Fadaa
- Google Play 商店
- 免费
- 教育
African Islamic Academy ni jukwaa bora la kielimu barani Afrika linalotoa masomo ya elimu ya Kiislamu na lugha ya Kiarabu kwa wanaozungumza Kiswahili kote duniani. Jiunge nasi ili kupata elimu bure kabisa kupitia mtandaoni, chini ya usimamizi wa walimu mahiri na mabingwa waliobobea katika tafsiri, elimu za Qur’ani, fiqhi, hadithi, tauhidi, wasifu wa Mtume ﷺ, na lugha ya Kiarabu.
Faida za kusoma katika chuo hiki:
Bure kabisa: Masomo na vyeti vya kozi zote hutolewa bila malipo yoyote.
Walimu wabobezi: Masomo hutolewa na walimu wenye uwezo wa juu na utaalamu maalumu.
Utambuzi wa kitaaluma: Wanafunzi bora hupata diploma zinazotambulika kutoka taasisi kubwa kama Chuo Kikuu cha Ibn Kathir.
Udhamini wa shahada ya kwanza: Wanafunzi wa juu wa ngazi ya pili na wahitimu wote wa ngazi ya tatu hupata udhamini wa kusoma shahada ya kwanza (Bachelor’s) katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Ibn Kathir.
Tajwidi ya Qur’ani: Uwezekano wa kujiunga na Taasisi ya Tadarus (kupitia akaunti ya chuo) kwa ajili ya kujifunza usomaji sahihi na kuhifadhi Qur’ani.
Jiunge na maelfu ya wanafunzi wanaozungumza Kiswahili kutoka Kenya, Tanzania, na nchi nyingine mbalimbali walio chagua Akademia kuwa kituo chao cha kutafuta elimu ya kisharia.
Swahili Islamic Academy 使用排名
使用率排名基于 Similarweb 的算法,该算法会计算 28 天内的当前安装量和活跃用户数。
所有品类在
美国--
教育在
美国--
每日活跃用户数量
查看Swahili Islamic Academy动态下载量和日常活跃用户,以便分析Swahili Islamic Academy用户的使用模式
用户
查看Swahili Islamic Academy动态下载量和日常活跃用户,以便分析Swahili Islamic Academy用户的使用模式
解锁每日活跃用户数11月12月1月
动态Swahili Islamic Academy排名统计
Swahili Islamic Academy的 Similarweb 使用排名和Google Play 商店排名
排名
没有可用的数据
用户兴趣点和热门类别
Swahili Islamic Academy 用户使用的热门类别和应用程序
无数据可显示
一月 30, 2026