2月1日的LTV Tanzania:Habar za Tanzania应用程序分析
LTV Tanzania:Habar za Tanzania
- MIZOZO
- Google Play 商店
- 免费
- 新闻与杂志
LTV Tanzania daily updates popote pale.habari za saa na uchambuzi wa kina
The app offers daily news and videos from Swahili News sources in Tanzania and outside tanzania.we cover sports news as well as hardcore news.
Taarifa ya habari Kila saa
Michezo supa
Michezo supa Ltv
Habari za uhakika
Habari na makala mbali mbali
Habari kuu
Ltv magazeti
Itv magazeti ya Leo
Itv michezo
Itv live Leo usiku
Habari za uhakika za michezo
Habari za uhakika za biashara
Habari za uhakika za uchumi
Habari za uhakika za siasa
Habari za uhakika za Kila siku
Habari za uhakika mpya Kila siku
Habari za Mpira
Habari za ligi ya soka Tanzania
Habari za maisha ya mastaa
Habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na taarifa muhimu za Tanzania.Habari za Tanzania kwa kasi – Makala, TV Live na taarifa za papo hapo.Habari sahihi kutoka vyanzo mbalimbali, papo hapo na bila kelele.
Taarifa za Habari Tanzania – Habari Sahihi, Haraka na Zenye Kuaminika
Taarifa za Habari Tanzania ni app iliyoundwa kukupa habari muhimu, uchambuzi wa kina, matangazo ya LIVE, na taarifa zote za kitaifa kwa mwendo wa kasi na usahihi.
Boresha ufahamu wako wa mambo ya Tanzania—popote na wakati wowote.
VIPENGELE MUHIMU
✔ Habari za Haraka (Breaking News)
Pata taarifa mpya mara tu zinapotokea kutoka vyanzo mbalimbali vya kuaminika.
✔ News TV Live
Tazama matangazo ya televisheni mubashara bila kutoka kwenye app.
✔ Data Saver Mode
Hifadhi data bila kupunguza ubora wa habari—chagua matumizi unayoyataka.
✔ Smart Notifications
Tunakuarifu tu pale kuna habari mpya kweli—hakuna kurudia au kelele zisizo muhimu.
✔ Uzoefu Mwepesi na Wa Haraka
App imeboreshwa kwa speed, usalama na utulivu—habari zinapakia ndani ya sekunde chache.
✔ Muonekano Safi na Rahisi Kutumia
UI ya kisasa, menu rahisi, na usomaji ulio rafiki kwa kila kifaa.
KWA NINI MTU APENDE HII APP?
• Habari zenye kuaminika kutoka vyanzo vya ndani ya nchi
• Matangazo ya moja kwa moja bila buffering
• Chaguo la kutumia data kidogo
• Hakuna kelele, hakuna taarifa za upotoshaji
• Kila kitu kikiwa na kasi, usalama na ubora
UPDATES ZA KARIBUNI
• Kuongezwa: News TV Live
• Data Saver Mode kwa matumizi madogo ya data
• WebView kuboreshwa – video fullscreen bila ku-stuck
• Smart notifications
• Utendaji na kasi kuongezeka
• Maboresho ya UI/UX
• Bug fixes & performance improvements
Sifa Kuu na muhimu za App (Vipengele Muhimu)
Habari za Hivi Punde (Breaking News)
Usipitwe na taarifa muhimu. Taarifa za habari inakuletea habari mpya mara zinapotokea – kuanzia matukio ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, ajira, afya hadi habari za serikali.
Kila tukio kubwa nchini au duniani linakufikia papo kwa hapo, ukiwa na uhakika wa chanzo cha habari.
Habari Mpya Kila Dakika
Kila dakika kuna habari mpya kutoka Tanzania na dunia.
App hii inasasishwa mara kwa mara kukuletea makala, taarifa, na uchambuzi wa kina kuhusu matukio yanayoendelea.
Hakuna kusubiri kesho kusoma habari za leo – kila taarifa mpya inakufikia moja kwa moja, ukiwa popote.
Matukio Duniani
Tazama na fuatilia matukio yote makubwa duniani – mikutano ya kimataifa, chaguzi, migogoro, maendeleo ya teknolojia, mabadiliko ya hali ya hewa, na masuala ya kijamii na kiuchumi kutoka mabara yote.
Habari za Marekani, Ulaya, Afrika, Asia na Mashariki ya Kati zinakujia kwa Kiswahili safi na kwa undani.
Habari za Kimataifa kwa Kiswahili
Kila siku, tunakuletea dunia nzima kupitia Kiswahili.
Habari za Kitaifa
Pata taarifa kamili kuhusu Tanzania – siasa, uchumi, maendeleo ya miradi, uongozi wa serikali, elimu, afya, na maisha ya kijamii.
Habari za Burudani
Magazeti Tanzania
Pata vichwa vya habari na habari kamili kutoka magazeti makubwa ya Tanzania kwa urahisi..
Faida za Kutumia app hii
Habari Mpya
Habari zote mpya kutoka Tanzania na kimataifa, kila dakika.
Habari za Hivi Punde
Breaking news mara zinapotokea – siasa, uchumi, afya, teknolojia, na zaidi.
Matukio Duniani
Ulimwengu mzima kwa Kiswahili.
LTV Tanzania:Habar za Tanzania 使用排名
使用率排名基于 Similarweb 的算法,该算法会计算 28 天内的当前安装量和活跃用户数。
所有品类在
美国--
新闻与杂志在
美国--
每日活跃用户数量
查看LTV Tanzania:Habar za Tanzania动态下载量和日常活跃用户,以便分析LTV Tanzania:Habar za Tanzania用户的使用模式
用户
查看LTV Tanzania:Habar za Tanzania动态下载量和日常活跃用户,以便分析LTV Tanzania:Habar za Tanzania用户的使用模式
解锁每日活跃用户数12月1月2月
动态LTV Tanzania:Habar za Tanzania排名统计
LTV Tanzania:Habar za Tanzania的 Similarweb 使用排名和Google Play 商店排名
排名
没有可用的数据
用户兴趣点和热门类别
LTV Tanzania:Habar za Tanzania 用户使用的热门类别和应用程序
无数据可显示
二月 1, 2026