12月30日的Msahafu wa Kiswahili السواحيلي应用程序分析
Msahafu wa Kiswahili السواحيلي
- Quran Audio Library
- Google Play 商店
- 免费
- 教育
Unaweza kupakua Programu na kuvinjari Qur'ani Tukufu pamoja na tafsiri (Hapa jina la lugha) kwa njia rahisi na nyepesi zaidi na kwa ubunifu mzuri wa kuvutia, uliobuniwa na wachoraji mahiri wa mapambo ya Qur'ani katika ulimwengu kwa muonekano wa kuvutia.
***Vipengele vya Apilikesheni***
- Wepesi wa kutumia ukurasa na imerahisishwa kwa kiwango cha hali ya juu.
- Utafutaji wa haraka zaidi, utafutaji katika aya za Qur'ani na katika majina ya sura na Juzuu.
- Kusoma Qur'ani, furahia kisomo cha Qur'ani Tukufu kutoka katika nakala iliyohakikiwa, iliyobuniwa kwa ubunifu mzuri na wa kuvutia.
- Tafsiri ya maana ya maneno ya Qur'ani Tukufu, ifahamu Qur'ani Tukufu kwa lugha yako kupitia tafsiri ya maana yake katika lugha ya Kiswahili
- Lugha mbali mbali, vinjari programu kwa lugha yako au kwa lugha unayopenda kuitumia katika Msahafu.
- Visomo, Kusikiliza kisomo cha Qur'ani Tukufu kwa sauti za wasomaji mashuhuri na wenye visomo vitamu.
- Kicheza sauti cha hali ya juu: Opereta inakupa uwezo wa hali ya juu, mfano kurudia rudia kwa ajili ya kukusaidia kuhifadhi Qur'ani Tukufu.
- Vituo: Kuongeza alama za marejeo na kuziongoza, kwa ajili ya wepesi wa kurejea katika sehemu za kusimama katika aya maalum.
- Vipendwa: Kuongeza idadi yoyote ya aya katika vipendwa, kwa ajili ya wepesi wa kuzirejea baadaye.
- Kuongeza maoni: Kuongeza maoni na mazingatio wakati wa kusoma Qur'ani, au kusoma tafsiri ya maana yake.
- Kushiriki: Kushiriki aya au maana yake kwa marafiki zako kupitia Apilikesheni na mitandao ya kijamii.
- Ubunifu wa kipekee: Imekamilika kuchagua rangi na mapambo ya kuvutia macho, na ubunifu wa kisasa ulionukuliwa kutoka katika tamaduni za wazungumzaji wa lugha ya Kiswahili
Designed and Developed by: https://smartech.online
Msahafu wa Kiswahili السواحيلي 使用排名
使用率排名基于 Similarweb 的算法,该算法会计算 28 天内的当前安装量和活跃用户数。
所有品类在
美国--
教育在
美国--
每日活跃用户数量
查看Msahafu wa Kiswahili السواحيلي动态下载量和日常活跃用户,以便分析Msahafu wa Kiswahili السواحيلي用户的使用模式
用户
查看Msahafu wa Kiswahili السواحيلي动态下载量和日常活跃用户,以便分析Msahafu wa Kiswahili السواحيلي用户的使用模式
解锁每日活跃用户数10月11月12月
动态Msahafu wa Kiswahili السواحيلي排名统计
Msahafu wa Kiswahili السواحيلي的 Similarweb 使用排名和Google Play 商店排名
排名
没有可用的数据
用户兴趣点和热门类别
Msahafu wa Kiswahili السواحيلي 用户使用的热门类别和应用程序
无数据可显示
十二月 30, 2025